Monday, February 17, 2025

MODULI YA 3: NAMNA YA KUCHUKUA HATUA YA KUONGEZA KIASI CHA AKIBA YA KILA MWEZI

Habari ndugu mwanchama wa TFDA Workers SACCOS Ltd, Natumaini unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. 

Napenda kukukaribisha kwenye Moduli ya 3 ya Program yetu maalum kuhusu JINSI YA KUJENGA TABIA YA KUWEKA AKIBA KWA HIARI KUPITIA SACCOS anbayo inalenga kukuza mtaji wa chama ili kuongeza uwezo wa SACCOS kuboresha zaidi kasi ya utoaji mikopo  kwa wanachama wake.

Moduli hii ni ya muhimu sana kwa kuwa inahusu kuchukua hatua. Hivyo, unaombwa utenge muda wa kutosha kupitia moduli hii.  

Matarajio yetu ni kwamba umekamilisha kupitia mada zote za Moduli ya kwanza  na ya pili ambazo tumekua tukizitoa kupitia video za kwenye you tube. 

KAMA JIBU NI NDIO HONGERA SANA. SASA KAMILISHA SAFARI YAKO KWA KUANGALIA VIDEO ZILIZOPO KWENYE MODULI 3 KWA KUFUATA MAELEZO YALIPO KWENYE KILA VIDEO 

Saturday, February 8, 2025

MODULI YA 3: NAMNA YA KUCHUKUA HATUA YA KUONGEZA KIASI CHA AKIBA YA KILA MWEZI

Habari ndugu mwanchama wa TFDA Workers SACCOS Ltd, Natumaini unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku.  Napenda kukukaribisha kwenye ...